BUKOBA SPORTS

Sunday, November 9, 2014

TOTTENHAM 1 vs 2 STOKE CITY

Wakicheza Ugenini huko White Hart Lane, Stoke City waliifunga Tottenham Bao 2-0 kwa Bao za Bojan Krkic, Dakika ya 6 na Jon Walters, Dakika ya 33.
Bao la Tottenham lilifungwa na Nacer Chadli kwenye Dakika ya 77 lakini haukupita muda Tottenham wakabaki Mtu 10 baada ya Kyle Naughton kumchezea Rafu mbaya Victor Moses.
Mambo ya SpursMike Jones akimwonesha kadi nyekundu mchezaji wa Spurs
VIKOSI:
Tottenham:
Lloris; Naughton, Fazio, Kaboul, Rose; Capoue, Mason; Chadli, Eriksen, Townsend; Kane.
Akiba: Vertonghen, Soldado, Adebayor, Lamela, Vorm, Dier, Dembele.

Stoke: Begovic; Bardsley, Shawcross, Wilson, Pieters; Walters, Sidwell, Nzonzi; Bojan, Diouf, Moses.
Akiba: Muniesa, Ireland, Arnautovic, Adam, Cameron, Crouch, Sorensen.
REFA: Mike Jones

No comments:

Post a Comment