BUKOBA SPORTS

Tuesday, November 4, 2014

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: REAL MADRID 1 vs 0 LIVERPOOL, KARIM BENZEMA AWATUNGUA MAJOGOO BERNABEU!

Karim Benzema akishangilia bao lake.Kipindi cha kwanza Real walienda mapumziko wakiwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya Liverpool.Karim Benzema akiwatanya wachezaji wa Liverpool.Kipindi cha kwanza dakika ya 27 Karim Benzema inaifungia bao la kwanza Real madrid.Jamaa akiuza skafu nje ya Uwanja wa Bernabeu kwa Mashabiki huku kipute cha UEFA Champions League kati ya Real Madrid vs Liverpool kikikaribia kuanza.UEFA CHAMPIONS LEAGUE:
RATIBA/MATOKEO
Jumanne Novemba 4 

KUNDI A 
Juventus 3 vs 2 Olympiakos 
Malmö FF 0 vs 2 Atletico Madrid 

KUNDI B 
FC Basel 4 vs 0 Ludogorets Razgrad 
Real Madrid 1 vs 0 Liverpool 

KUNDI C 
Zenit St Petersburg 1 vs 2 Bayer Leverkusen 
Benfica 1 vs 0 AS Monaco 

KUNDI D 
Arsenal 3 vs 3 Anderlecht 
Borrussia Dortmund 4 vs 1 Galatasaray 

No comments:

Post a Comment