Aleksandar Mitrovic akishangilia bao lake la kusawazisha kwa kufanya 3-3 kwenye Uwanja wa Arsenal Emirates 3-3..!!!!! Anderletch wakishangilia baada ya kutoka sare ya 3-3 na Arsenal kwenye Uwanja wa Emirates usiku huu kwenye Klabu Bingwa Ulaya.Bao la kwanza limefungwa na Mikel Arteta kwa mkwaju wa penati dakika 25 kipindi cha kwanza na baadae kidogo dakika ya 29 Alexis Sánchez akawachapa bao la pili nakufanya 2-0 dhidi ya Anderlecht.Alexis Sánchez akiachia shuti kali na kuziona nyavu za AnderlechtAlexis Sánchez akipeta baada ya kufunga bao la pili
Kipindi cha pili dakika ya 58 Alex Oxlade-Chamberlain aliwachapa bao la tatu Anderlecht na kufanya 3-0, Nao Anderlecht walipata bao lao dakika ya 61 kupitia kwa Anthony Vanden Borre kwa msaada ya mchezaji aliyeingia kipindi cha pili Andy Kawaya. Anthony Vanden Borre aliwafunga tena bao la pili Arsenal na kufanya 3-2 katika dakika ya 73 kipindi cha pili. Kwenye dakika za lala salama dakika ya 90 mchezaji wa Anderlecht Aleksandar Mitrović aliwachoma bao Arsenal na kusawazisha bao kwa kichwa na kufanya 3-3 huku wakitoka nyuma ya bao 3-0 na kusawazisha zote, Sare hii inawaweka pabaya Gunners kwani katika kundi lao D Borussia Dortmund kamfunga Gala bao 4-1.Mashabiki wa Timu ya Anderlecht wakitupia wakiipa sapoti timu yao kwa kuishangilia..Theo Walcott kaanzia nje kwenye Benchi.
VIKOSI:
Arsenal XI: Szczesny, Chambers, Mertesacker, Monreal, Gibbs, Arteta, Oxlade-Chamberlain, Ramsey, Alexis, Cazorla, Welbeck.
Akiba: Martinez, Bellerin, Flamini, Rosicky, Podolski, Walcott, Sanogo
Anderlecht XI: Proto, Vanden Borre, Mbemba, Deschacht, Acheampong, Kliejstan, Tielemans, Najar, Praet, ContE, Cyriac.
Akiba: Roef, Colin, Heylen, Dendoncker, Kawaya, Kabasele, Mitrovic.

Danny Welbeck akiingia ndani ya Uwanja Emirates huku akionekana mwingi wa furaha!
No comments:
Post a Comment