Kwenye Kundi A, Gabon ndio wanaongoza wakiwa na Pointi 3 baada ya Mechi 1 wakifuatiwa na Equatorial Guinea wenye Pointi 2 kwa Mechi mbili na Congo wana Pointi 1 kwa Mechi moja huku Burkina Faso wakiwa na Pointi 1 baada ya Mechi 2.
Wednesday, January 21, 2015
AFCON 2015: WENYEJI EQUATORIAL GUINEA SARE ZAFATA LEO!! WASHINDWA KUIFUNGA BURKINA FASSO
Kwenye Kundi A, Gabon ndio wanaongoza wakiwa na Pointi 3 baada ya Mechi 1 wakifuatiwa na Equatorial Guinea wenye Pointi 2 kwa Mechi mbili na Congo wana Pointi 1 kwa Mechi moja huku Burkina Faso wakiwa na Pointi 1 baada ya Mechi 2.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment