
Diafra Sakho wa West Ham United aipa Ushindi West Ham katika dakika ya mwishoni mwa kipindi cha pili dakika ya 81.

Diafra Sakho kama siye yeye aliyefunga bao!!! Kashangilia kwa aina yake!

1-0 Na mtanange umemalizika kwa bao la pekee la Sakho

Andy Carroll nae alishangilia Ushindi huo!

Mashabiki wa Bristol City wakiwa wametinga Scalf zao shingoni

Luke na Mark wakichuana vikali

Mchezaji wa West Ham Andy Carrol akiachia mpira wa kichwa dhidi y Mchezaji wa Bristol Willium.

Stewart wa Tmu ya West Ham (kulia) akiachia shuti kali
No comments:
Post a Comment