Leo January 25 ni siku ambayo Nicolaus Trac anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, Nico ni mtaaalamu wa kitengo cha IT kampuni ya Global Publishers.
Mwenyezi Mungu akupe nguvu na Busara, Malezi bora na akukuze katika mazingira ya Kimungu ili Uweze kufanya Kazi zako za kuelimisha jamii.www.bukobasports.com inakutakia Siku njema ya kuzaliwa kwako.
Tunakutakia maisha marefu sana yaliyojaa furaha, Amani na mafanikio tele.
No comments:
Post a Comment