Mshambuliaji wa Simba, Danny Sserunkuma (kulia) akichuana na Aggrey Moris wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1.

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akiwa katikati ya mabeki wa Azam FC.

Kikosi cha Simba.

Kikosi cha Azam FC.

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akitolewa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam baada ya kuumia katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC iliyoisha kwa timu hizo kufungana bao 1-1. Mchezaji huyo alikimbizwa Hospitali ya Taifa Muhimbili akiwa amepoteza fahamu.
Benchi la ufundi la Azam.
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lao.
Danny Sserunkuma akichuana na Aggrey Moris.


Kipindi ch kwanza kimemalizika Simba 1-0, Azam Fc bado hawajapa kitu..
Emmanuel Okwi akijaribu kumtoka kumtoka Beki wa pembeni wa azam Shomari kapombe
RATIBA/MATOKEO
Jumapili Januari 25
Azam FC 1 vs 1 Simba
Kagera Sugar 1 vs 2 Ndanda FC
Stand United 0 vs 1 Coastal Union
Mbeya City 2 vs 2 Tanzania Prisons
Ruvu Shooting 2 vs 1 Mtibwa Sugar
JKT Ruvu 1 vs 1 Mgambo JKT
No comments:
Post a Comment