Kagera Sugar walianza kufunga bao dakika ya 33 kupitia kwa Salum Kanoni, Hadi mapumziko Kagera walikuwa wanaongoza bao 1-0 dhidi ya Ndanda FC.
Kipindi cha pili dakika ya 70 Ndanda walisawazisha kupitia kwa Stamil Mbonde dakika ya 70. Ndanda waliongeza kasi na dakika ya 85 Ndanda FC walipata bao tena la Ushindi kupitia kwa Nassoro Kapama.
Taswira Uwanjani CCM Kirumba Jijini Mwanza, Kagera Sugar VS Ndanda FC
Uwanja wa CCM Kirumba bado waiendelea kuitesa Timu ya Kagera Sugar.
RATIBA: LIGI KUU VODACOM
Kipindi cha pili dakika ya 70 Ndanda walisawazisha kupitia kwa Stamil Mbonde dakika ya 70. Ndanda waliongeza kasi na dakika ya 85 Ndanda FC walipata bao tena la Ushindi kupitia kwa Nassoro Kapama.
Taswira Uwanjani CCM Kirumba Jijini Mwanza, Kagera Sugar VS Ndanda FC
RATIBA: LIGI KUU VODACOM
Jumapili Januari 25
Azam FC vs Simba
Kagera Sugar vs Ndanda FC
Stand United vs Coastal Union
Mbeya City vs Tanzania Prisons
Ruvu Shooting vs Mtibwa Sugar
JKT Ruvu vs Mgambo JKT
Azam FC vs Simba
Kagera Sugar vs Ndanda FC
Stand United vs Coastal Union
Mbeya City vs Tanzania Prisons
Ruvu Shooting vs Mtibwa Sugar
JKT Ruvu vs Mgambo JKT
No comments:
Post a Comment