Sergio Ramos akipeta baada ya kuifungia bao Real Madrid leo huku wakicheza bila Staa wao Cristiano Ronaldo.
Hatari tupu!!
James Rodriguez alisawazisha bao mapema dakika ya tatu
1-1
Karim Benzema akifanya yake leo
Real Sociedad ndio walianza kupata bao mapeema dakika ya 1 kupitia kwa Aritz Elustondo nao Real Madrid walisawazisha kupitia kwa James Rodríguez dakika ya 3 na kuwa 1-1.
Sergio Ramos dakika ya 37 anaipachikia bao la pili Real Madrid na kufanya 2-1 dhidi ya Real Sociedad.
Dakika ya 52 Karim Benzema aliwachapa bao la tatu Real Sociedad na kufanya Timu yake Real kuwa mbele ya bao 3-1 baada ya kupata ushirikiano safi kutoka kwa Gareth Bale.
Bao la 4 na la mwisho lilifungwa na Karim Benzema dakika 76.
No comments:
Post a Comment