
Beki wa timu ya Simba,Hassan Isihaka (26) akiangalia namna ya kumzuia Mshambuliaji wa Timu ya JKT Ruvu,Jabir Aziz katika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara,unaopigwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Simba inaomgoza kwa Bao 2-1.

Nyanda wa Timu ya Simba,Ivo Mapunda akiwania mpira wa juu na Mshambuliaji wa timu ya JKT Ruvu,Samuel Kamuntu katika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara,unaopigwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Simba inaomgoza kwa Bao 2-1

Weeee.....!

Wachezaji wa Timu ya JKT Ruvu wakishangilia goli lao la kusawazisha dhidi ya Simba.
PICHA KWA HISSANI YA MICHUZI BLOG.

Kiungo wa JKT Ruvu akiruka daruga .
Kocha wa Timu ya Simba akiwapa mawaidha wachezaji wake.


Kiungo wa JKT Ruvu akiruka daruga .
Kocha wa Timu ya Simba akiwapa mawaidha wachezaji wake.
No comments:
Post a Comment