MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AONDOKA RASMI KUELEKEA JIJINI MIAMI KWENYE FAINALI ZA DUNIA.
Mrembo wa miss Universe Tanzania 2014, Narietha Boniface ameondoka rasmi nchini kuelekea nchini Marekani kwenye fainali za dunia za Miss Universe zitakazofanyika jijini Miami tarehe 25 Januari 201.
No comments:
Post a Comment