MANCHESTER CITY 1 vs 1 HULL, CITY WABANWA ETIHAD!! SARE YAWAACHIA PENGO LA POINTI 7 MBELE YA VINARA CHELSEA!
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England, Manchester City, Leo hii wakiwa kwao Etihad wametoka Sare na Hull City na kuwaruhusu Vinara Chelsea kuongoza Ligi wakiwa Pointi 7 mbele yao baada ya kushinda Ugenini Bao 2-1 dhidi ya Aston Villa.
City walinusurika kufungwa na Hull City walioongoza kwa Bao la Dakika ya 35 la David Meyler na kusawazisha Dakika ya 90 kwa Bao la James Milner.
No comments:
Post a Comment