BUKOBA SPORTS

Monday, February 2, 2015

BONDIA FRANCIS CHEKA AFUNGWA JELA MIAKA MITATU(3) BAADA YA KUKUTWA NA HATIA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MOROGORO.

Bondia wa ngumi za kulipwa Tanzania, anayeshikilia mikanda lukuki ikiwemo wa WBF, Francis Cheka, amefungwa kifungo cha miaka mitatu jela leo Februari 02/ 2015 kwa kosa la kumshambulia Meneja wake mkoani Morogoro katika mahakama ya hakimu mkazi Morogoro.

Habari zaidi itakujia punde...

No comments:

Post a Comment