Hadi Mapumziko Barcelona walikuwa mbele kwa Bao 1-0 ambalo alifunga Lionel Messi katika Dakika ya 41.
Dakika ya 48 Manu Trigueros aliisawazishia Villareal lakini Dakika 1 baadae Andres Iniesta aliwapa Barca Bao la Pili.
Barca walifunga Bao la 3 Dakika ya 63 kupitia Gerard Pique aliefunga kwa Kichwa kufuatia Kona ya Messi.
Dakika ya 70 Barca walipewa Penati ambayo ilipigwa na Neymar na Kipa Asenjo kuokoa.
Kocha wa Barca nae Furaha tupu!
No comments:
Post a Comment