Kipindi cha pili dakika ya 55 James Milner aliiongezea bao Man City na kufanya 2-1 dhidi ya Wenyeji Stoke City. 
Samir Nasri akisangilia timu yake kushinda
Dakika ya 70 Sergio Agüero aliiongezea bao City kwa mkwaju wa penati na Samir Nasri alifunga bao la nne dakika ya 76 na kufanya bao kuwa 4-1 dhidi ya Wenyeji Stoke City.
1-1 Moses akimpongeza Peter(kushoto) baada ya kusawazisha bao dhidi ya City katika kipindi cha kwanza.

Peter Crouch wa Timu ya Stoke City akisawazisha bao kwa kufanya 1-1 dhidi ya Man City dakika ya 38

Mchezaji wa Stoke Marko Arnautovic akichuana na Aleksandar Kolarov

BAO...
No comments:
Post a Comment