
1-0
Willium (kushoto) akiomba baada ya kuipa bao la Ushindi Chelsea katika dakika ya 89 ya Mchezo kati yao na Everton.
Willian aliipachikia Chelsea bao katika dakika za lala salama dakika ya 89 na kumaliza Mchezo dakika 90 Chelsea wakiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Everton. Ushindi huu unaipaisha zaidi Chelsea Kileleni wakiwa na pointi 59.
Patashika!!

Cuadrado alianza kipindi cha kwanza leo
VIKOSI:
Chelsea: Cech, Ivanovic, Zouma, Terry, Azpilicueta, Ramires, Matic, Cuadrado, Willian, Hazard, Remy.
Akiba: Luis, Fabregas, Ake, Drogba, Courtois, Cahill, Loftus-Cheek.
Everton: Howard, Coleman, Stones, Jagielka, Oviedo, Besic, Barry, Lennon, Naismith, Barkley, Lukaku.
Akiba: Robles, Gibson, Kone, Mirallas, McCarthy, Garbutt, Alcaraz.
Mwamuzi: Jonathan Moss

Chelsea vs Everton:

No comments:
Post a Comment