Usiku huu ni wenyeji Preston North End vs Manchester United, Nani kuibuka kidedea na kutinga Robo Fainali!Mwaka 2007 huko Reebok Stadium Davies alimchezea Rafu mbaya Patrice Evra kiasi cha Sir Alex Ferguson kupandwa jazba kwenye Benchi na hasira hizo zilipozwa na Refa Mark Clattenburg kumpa Kadi Nyekundu Davies.
No comments:
Post a Comment