BUKOBA SPORTS

Tuesday, February 3, 2015

FA CUP: MANCHESTER UNITED 3 vs 0 CAMBRIDGE UNITED, JUAN MATA, ROJO NA WILSON WAIPA USHINDI UNITED OLD TRAFFORD!! KAMA MWAKA 1991! UNITED HAOO RAUNDI YA TANO!!

James Anthony Wilson aliyeingia kipindi cha pili kuchukua nafai ya Van Persie dakika ya 66 aliifungia bao la tatu Man United na kufanya 3-0 dhidi ya Cambridge United katika dakika ya 73.2-0 Rojo akishangilia bao lake..Rojo aliipiga bao la pili la kichwa dakika ya 32 na kufanya 2-0 baada ya kuunganisha pasi kutoka kwa Robin Van Persie.

Juan Mata aliipatia bao la kuongoza Man United katika dakika ya 25 kipindi cha kwanza baada ya kuunganisha mpira wa kichwa wa Fellaini ndani ya boksi na kufanya 1-0 dhidi ya Cabridge United.Juan Mata akishangilia bao lakeJuan Mata akifanya yake huku mchezaji wa Cambridge Luke Chadwick akimwangalia Di Maria akikacha na mpira..Mwamuzi ni J. MossKIKOSI CHA MAN UNITED:
Manchester United:
De Gea, McNair, Smalling, Evans, Rojo, Blind, Fellaini, Mata, Rooney, Di Maria, Van Persie.

AKIBA:Valdes, Jones, Valencia, Herrera, Young, Falcao, Wilson.

No comments:

Post a Comment