YANGA wanaongoza bao 1-0 Mkwakwani dhidi ya Wenyeji wao Coastal Union kwenye Mechi pekee leo ya Ligi Kuu Vodacom Tanzaia Bara. Bao likifungwa na Haroub Nadir “Canavaro” kipindi cha kwanza.
Yanga walikuwa na Pointi 19, Pointi 1 nyuma ya Vinara Azam FC huku Timu zote zimecheza Mechi 11 ushindi huu wa leo dhidi ya Coastal Union wamepanda kileleni...wakiwa na pointi 22
Coastal Union wako Nafasi ya 7 wakiwa na Pointi zao 17 baada ya kucheza Mechi 12.
RATIBA/MATOKEO
Jumatano Februari 4
Coastal Union 0 vs 1 Yanga SC
Jumamosi Februari 7
Polisi Moro v Azam FC
Ndanda FC v Stand United
Kagera Sugar v Mgambo JKT
Prisons v Ruvu Shootings
JKT Ruvu v Mbeya City
Coastal Union v Simba
Jumapili Februari 8
Yanga v Mtibwa Sugar
No comments:
Post a Comment