BUKOBA SPORTS

Sunday, February 15, 2015

FULL TIME: ASTON VILLA 2 vs 1 LEICESTER CITY, BACUNA NA SINCLAIR WAIPELEKA VILLA HATUA YA ROBO FAINALI!

Aston Villa leo wameifunga Timu ya Leicester City bao 2-1 na kutinga hatua ya (Robo Fainali) Raundi ya 6 ya Kombe hilo bao za Aston Villa zilifungwa na L. Bacuna dakika ya 68 kipindi cha pili na lile la ushindi la dakika za lala salama la S. Sinclair la dakika ya 89 na bao la pekee kwa Leicester City lilifungwa dakika ya Majeruhi na A. Kramaric dakika ya 90+1.Full time 2-1Leandro Bacuna akiifungia bao Aston Villa
Leandro Bacuna celebrates after scoring the first goal for Aston VillaBacuna akishangilia bao lakeNew Aston Villa manager Tim Sherwood in the standsKocha mpya Sherwood akiangalia kipute hicho.
Aston Villa, huku wakitazamwa na Meneja wao mpya Tim Sherwood aliyekuwa Jukwaani, waliichapa Leicester City Bao 2-1 na kutinga Robo Fainali.
Bao za Villa zilifungwa na Leandro Bacuna, Dakika ya 68 na Scott Sinclair Dakika ya 89 wakati Leicester walipata Bao lao Dakika ya 90 kupitia Andrej Kramaric.
Aston Villa's Irish goalkeeper Shay Given reaches to make a savePatashika langoni

No comments:

Post a Comment