BUKOBA SPORTS

Sunday, February 15, 2015

FULL TIME: BRADFORD 2 vs 0 SUNDERLAND

Bao za kujifunga mwenyewe John O'Shea, katika Dakika ya 3 tu, na lile la Jon Stead limewafanya Timu ya Daraja la chini, Bradford City, walipoichapa Sunderland Bao 2-0 huko Valley Parade na kutinga Robo Fainali ya FA CUP.

No comments:

Post a Comment