BUKOBA SPORTS

Saturday, February 21, 2015

FULL TIME: KAGERA SUGAR 1 vs 0 POLISI MOROGORO, RASHID MANDAWA AIPA USHINDI KAGERA LEO KAMBARAGE SHINYANGA!

Rashid Mandawa anaipachikia bao kwa shuti kali lililomzidi nguvu Kipa wa Polisi Moro.
Mashabiki wa Kagera wa hapa Shinyanga wanashangilia kwa sana baada ya kuipata bao Kagera Sugar bao ni 1-0 Kagera wanaongoza..
Hadi mapumziko Kagera 1-0 Polisi moro hapa Kambarage  Shinyanga.
Kipindi cha pili kinamalizika Kagera Sugar wanashinda bao 1-0 dhidi ya Polisi Morogoro.

No comments:

Post a Comment