
United hoi! kwa Swansea City Liberty Stadium
Bao hilo la Manchester United halikuweza kudumu dakika ya 30 Swansea walisawazisha na kufanya 1-1 kupitia kwa Ki Sung-Yeung. Bafetimbi Gomis aliwapa bao la Ushindi dakika ya 73 na mtanange kumalizika kwa bao 2-1 dhidi ya Man United katika Uwanja wa
Liberty Stadium.
1-1 Ki Sung-Yeung akishangilia baada ya kusawazisha bao hilo dakika 30.

Van Gaal


Wayne Rooney

Ander Herrera

Rooney akitoa pongezi..kwa Ander

Fellaini nae alitoa pongezi

Ander Herrera akishangilia bao lake kwa Man United dhidi ya Swansea City katika kipindi cha kwanza.



VIKOSI:
Swansea: Fabianski, Naughton, Fernandez, Williams, Taylor, Ki, Cork, Sigurdsson, Shelvey, Routledge, Gomis.
Subs: Amat, Britton, Emnes, Nelson Oliveira, Montero, Rangel, Tremmel.
Man Utd: De Gea, McNair, Jones, Rojo, Shaw, Blind, Ander Herrera, Di Maria, Fellaini, van Persie, Rooney.
Subs: Mata, Falcao, Januzaj, Smalling, Young, Valencia, Valdes.
Referee: Neil Swarbrick

Ander Herrera Kuanza.
No comments:
Post a Comment