RATIBA LIGI KUU VODACOM LEO JUMAPILI, MBEYA CITY vs YANGA SC, STAND UNITED vs SIMBA, AZAM FC NAYO UWANJANI!
Azam FC itakuwa mgeni wa Ruvu Shootings katika uwanja wa Mabatini wakijaribu kuongeza tofauti ya pointi na Yanga ili kuendelea kushika usukani wa #VPL. Itaweza kuondoka na ushindi dhidi ya timu iliyokamia kutofungwa nyumbani?
No comments:
Post a Comment