BUKOBA SPORTS

Saturday, February 21, 2015

MANCHESTER CITY 5 vs 0 NEWCASTLE UNITED, CITY WAICHINJA CHINJA NEWCASTLE NYUMBANI ETIHAD, YAYA TOURE NA BONY WAKIRUDI. SILVA APIGA BAO MBILI!

David Silva dakika ya 51 na 53 kaifungia bao mbili Man City na kufanya bao kuwa 5-0 Kwenye Uwanja wa Nyumbani Etihad.www.bukobasports.comUshindi huu wa City unawakalisha nafasi ya pili wakiwa wakiwa na pointi 55 pointi tano tu nyuma ya Vinara Chelsea wenye pointi 60 baada ya kukomaliwa sare ya 1-1 na Burnley Nyumbani kwao Stamford Bridge leo.
www.bukobasports.comSamir Nasri dakika ya 12 kipindi cha kwanza akipeta baada ya kupata bao.Yaya Toure na Bonny Wilfried wakipongezana www.bukobasports.comManchester City walipata bao mapema la mkwaju wa penati dakika ya 2 na bao la pili lilitiwa kimiani na Samir Nasri dakika ya 12 na Edin Dzeko kuishona bao la tatu na kufanya 3-0 kipindi cha kwanza.

No comments:

Post a Comment