BUKOBA SPORTS

Thursday, February 19, 2015

EUROPA LEAGUE: TOTTENHAM 1 vs 1 FIORENTINA

1-1Roberto Soldado dakika 6 aliifungia bao Spurs na José Basanta wa Fiorentina dakika ya 36 kipindi hicho hicho cha kwanza aliisawazishia bao na kufanya 1-1.

No comments:

Post a Comment