BUKOBA SPORTS

Thursday, February 19, 2015

EUROPA LEAGUE: YOUNG BOYS 1 vs 4 EVERTON, ROMELU LUKAKU APIGA HAT-TRICK!


Romelu Lukaku akishangilia moja ya bao lake dhidi ya Timu ya  Young Boys huko SwitzerlandLukaku amefunga bao tatu peke yake usiku huuLukaku akitupia...
Steven Naismith akimpongeza Romelu Lukaku

Ross Barkley akichuana na  Lukaku mbapo Likaku aliifungia bao kwa Kichwa Everton.

Mashabiki wa Timu ya Young Boys wakiwashangilia wenzao wakati Timu zinaingia Uwanjani.

Kocha wa Everton Martinez kaiongoza Timu yake kwenda hatua inayofuata Raundi ya 16

No comments:

Post a Comment