FA CUP: MANCHESTER UNITED vs ARSENAL, VAN GAAL ADAI MCHEZO HUO NI KAMA FAINALI!!
Jumatatu Usiku saa 10:45 huko Old Trafford Manchester United watacheza na Mabingwa Watetezi Arsenal katika mchezo wa Robo Fainali FA CUP.Nani kuondoka na pointi tatu leo kati ya Van Gaal na Wenger?
No comments:
Post a Comment