Kulingana na wandani wa maswala ya nidhamu katika ligi hiyo ya Uingereza,wawili hao huwenda wakapigwa marufuku ya mechi sita kila mmoja.
Sasa shirikisho la Kandanda la Uingereza linasubiri ripoti ya refarii huyo ilikubaini hatua ipi itawafaa vibonde hao wawili.
Msimu uliopita George Boyd alipigwa marufuku ya mechi 3 kwa kumtemea kohozi kipa ya Manchester City Joe Hart.
Kwa mujibu wa wachezaji wakongwe Evans na Cisse wanastahili adhabu kali.
No comments:
Post a Comment