Ijumaa, England iliichapa Lithuania 4-0 kwenye Mechi ya Kundi E la EURO 2016 ambalo wao ndio Vinara lakini Italy walinusurika kichapo kwa kusawazisha mwishoni walipotoka 2-2 ugenini na Bulgaria kwenye Mechi ya Kundi H la EURO 2016 ambalo wao wako Nafasi ya Pili.
Pengine hii ni nafasi nzuri kwa Spain kulipa kisasi kwani Netherlands itawakosa Mastaa wao wakubwa Robin van Persie na Arjen Robben ambao ni Majeruhi.
MECHI ZA LEO JUMANNE MACHI 31
19:00 Switzerland vs USA
21:45 Italy vs England
21:45 Netherlands vs Spain
22:45 Portugal vs Cape Verde
No comments:
Post a Comment