
Onyesho hilo limeandaliwana shirika la Afrikaktiv e.V wakishirikiana na shirika la Cabaret du Monde,Ngoma Africa band iliyozoeleka kwa kuwatia kiwewe washabiki wake kilakona duniani wataporomosha muziki moto moto na mdundo wao maarafukama " Extraordinary Bongo Dansi" mdundo unaotingisha bila ya kuwa nampinzani huko ughaibuni, bendi hiyo inadumu katika medani ya muziki kwamuda wa miaka 23 na kufanikiwa kujizolea washabiki kila kona.
Ticket za onyesho hilo zinapatikana kwa simu ( booking): Call9+49 0)152 12091242 au +49(0)152 106106137 Mnakaribishwa wote,pia usikose kuwasikilizaFFU-Ughaibuni at www.ngoma-africa.com
No comments:
Post a Comment