BUKOBA SPORTS

Saturday, April 18, 2015

FULL TIME: BARCELONA 2 vs 0 VALENCIA, SUAREZ NA LIONEL MESSI WAIPA USHINDI BARCA..NA KUIWEKA KILELENI ZAIDI! MESSI AFUNGA BAO LA 400!

Luis Suárez(kulia) Akishangilia bao lake la dakika ya mapemaLuis Suárez leo kafanya maajabu kwa kuifungia Timu ya Barca bao ndani ya dakika 1 na kuipa bao la kuongoza 1-0 dhidi ya Valencia.
Dakika za majeruhi Lionel Messi alifunga bao lake la 400 na kufanya mchezo kumalizika kwa bao 2-0.2-0

No comments:

Post a Comment