BUKOBA SPORTS

Friday, April 10, 2015

DKT.SHEIN AKUTANA TIMU YA MAVETERANI BACELONA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohammed Shein akipokabidhiwa Jezi ya Bacelona namba 14 ya mchezahji wa zamani akiwa kocha Johan Cruyff (kushoto)wakati wa hafla fupi ya chakula jioni iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar timu hiyo ilipokutana na Rais.
[Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment