BUKOBA SPORTS

Saturday, April 11, 2015

LA LIGA: SEVILLA FC 2 vs 2 BARCELONA, BARCA WANASA NAO LEO...KEVIN GAMEIRO ASAWAZISHA BAO DAKIKA ZA MWISHONI!

BAO za Barcelona zilifungwa na Lionel Messi dakika ya 14 kipindi cha kwanza na Neymar dakika ya 31.
Sevilla FC walipigana kufa na kupona huku wakijua wako nyuma ya bao 2-0 dhidi ya Barca.
Na Sevilla FC bao limefungwa dakika ya 38 na Ever Banega Kipindi cha kwanza kwa kufanya 2-1.
Kipindi cha pili Sevilla FC walisawazisha tena bao dakika za mwishoni na kufanya 2-2 kupitia kwa Kevin Gameiro dakika ya 84.

No comments:

Post a Comment