Real Madrid inazidi kuipumulia Barcelona katika mbio za
La Liga baada ya kuichapa Rayo Vallecano 2-0 Kwa ushindi huo, Real
Madrid inaendelea kutofautishwa kwa pointi kati yake na Barcelona ambayo
hapo awali iliifumua Almeria 4-0. Ronaldo akishangilia bao lake la 300Mabao ya Real Madrid yamefungwa na Cristiano Ronaldo aliyetupia katika dakika ya 68 muda mfupi baada ya kulimwa kadi ya njano kwa kujirusha huku bao la pili likifungwa na James Rodriguez dakika ya 74.
No comments:
Post a Comment