BUKOBA SPORTS

Saturday, April 18, 2015

FULL TIME: YANGA SC 1 vs 1 ETOILE DU SAHEL, HAKUNA MBABE TAIFA!


Mchezaji wa Timu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia, Bounedjah Baghdad akiangalia namna ya kuwatoka wachezaji wa Yanga, Mbuyu Twite na Amissi Tambwe wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho unaoendelea kupigwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam. Kipindi cha pili kimeanza hivi punde na matokeo ni 1-1.Picha zote na Othman Michuzi.

Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa akiruka daluga la Beki wa Timu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho unaoendelea kupigwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam. Kipindi cha pili kimeanza hivi punde na matokeo ni 1-1.


Wachezajiwa Timu ya Yanga, wakishangilia ushindi sambamba na mashabiki wao.

Kiungo wa Timu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia, Franck Kom aruka juu kuwania mpira wa kichwa wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho unaoendelea kupigwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam. Kipindi cha pili kimeanza hivi punde na matokeo ni 1-1.BAO la Yanga lilifungwa na Nadir Haroub Canavaro kipindi cha kwanza.

Kipindi cha pili Etoile Du Sahel wanasawazisha bao na kufanya 1-1 kwenye Uwanja wa Taifa

No comments:

Post a Comment