BUKOBA SPORTS

Saturday, April 11, 2015

WACHEZAJI WA BARCELONA WAMTEMBELEA RAIS KIKWETE IKULU

Mchezaji nyota wa Timu ya Barcelona Johann Cruyft akimkabidhi jezi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro)Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji maveterani wa timu ya Barcelona walipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam leo. .Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wachezaji maveterani wa timu ya Barcelona wakati walimpomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment