Cristiano Ronaldo ameiongoza Real Madrid kushinda kwa kufunga bao tatu peke yake, Hat-trick dhidi ya Sevilla.
Ronaldo alifunga bao mbili faster faster dakika ya 36 na 37 dhidi ya Sevilla
Ronaldo akishangilia bao lake akiwa na Marcelo pamoja na Javier Hernandez
Sevilla XI: Rico; Figueiras, Carriço, Kolodziejczak, Trémoulinas; Krychowiak, Mbia; Vidal, Banega, Reyes; Bacca.
Subs: Navarro, Gameiro, Iborra, D Suárez, M Pérez, Moreno, SolIs.
Real Madrid: Casillas; Carvajal, Varane, Pepe, Marcelo; Ramos, Kroos; Isco, Rodriguez, Ronaldo; Hernandez.
Subs: K Navas, Coentrao, Bale, Arbeloa, Nacho, Jese, Illarramendi.
No comments:
Post a Comment