Wachezaji wa Real Madrid walifanya mazoezi yao kwenye Uwanja wa Juventus huko Turin tayari kwa kukwaana na Juve kwenye mchezo wa Nusu Fainali usiku huu, Mwamuzi ni Martin Atkinson
Wachezaji wa Real wakifanya mazoezi yao leo
Staa wa Real Madrid Cristiano Ronaldo akipasha Uwanjani huko Turin
Ronaldo na James Rodriguez wakiteta kwa furaha
Winga wa Wales Gareth Bale kati anatarajia kupangwa katika kikosi cha kwanza dhidi ya Juve usiku huu huko Turin
Pepe na wenzake wakipasha!
Meneja wa Real Madrid Carlo Ancelotti akipanga jinsi atakavyo wapanga wachezaji wake katika Uwanja huo na kuuzoea kwa muda
Mchezaji wa Mkopo kutoka Manchester United Javier Hernandez
Ronaldo akicheka jambo karibu na kocha wake Ancelotti
Bale na Toni Kroos
No comments:
Post a Comment