Mechi nyingine ya mvuto ya Wiki ya ufunguzi ni ile ya Borussia Dortmund, wenye Kocha mpya Thomas Tuchel aliemrithi Juergen Klopp, wakiwa Nyumbani kuivaa Borussia Monchengladbach.
Baadhi ya Mechi nyingine za ufunguzi ni Werder Bremen vs. Schalke, Bayer Leverkusen vs. TSG Hoffenheim wakati Augsborg wakiwa Nyumbani kucheza na Hertha Berlin.
No comments:
Post a Comment