BUKOBA SPORTS

Tuesday, June 30, 2015

COPA AMERICA: WENYEJI CHILE HAOO FAINALI!! WAIFUNGA PERU BAO 2-1, VARGAS SHUJAA!

Vargas akishangilia bao lake la UshindiEduardo Vargas akishangilia bao lakeKadi nyekundu mwamui akimwonesha Zambrano wa Peru
Eduardo Vargas na wenzake wakishangilia kwenda Fainali Copa America baada ya wapinzani wao kusawazisha na Vargas kufunga bao la ushindi ndani ya dakika 4 tangu wasawazishe. Huku wapinzani wao wakicheza pungufu Uwanjani.

No comments:

Post a Comment