BUKOBA SPORTS

Saturday, June 13, 2015

KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA WAWAKARIBISHA KWENYE DUKA LAO LILILOPO BUKOBA MJINI!

WWW.BUKOBASPORTS.COMTunawakaribisha kwenye duka letu la KAPOTIVE SHOP. Pale utapata CD/DVD zetu zote na za kwaya mbali mbali. Lakini pia utapata Stationeries, Mitungi ya Gesi na majiko yake; M-pesa, Airtel Money, Tigo Pesa. Duka lipo Bukoba mjini, lilipokuwa duka la Mama wa Mkombozi, karibu na NET PHARMACY. Karibuni sana.

No comments:

Post a Comment