SARE HII imeipandisha Peru nafasi ya 1 wakiwa na pointi 4 sawa na Clombia wenye pointi 4 ambao wako nafasi ya pili Lakini matokeo ya Brazil na Venezuela usiku huu yataitibulia Timu hiyo ya Colombia hivyo kuonekana nafasi yao kuishia hapo labda kama watashika nafasi ya tatu. Brazil na Venezuela wote wana pointi 3 kila mmoja.
Hivyo Peru wamejikatia Tiketi tayari ya kucheza Robo Fainali ya Copa America tayari.
Kundi C, Colombia na Peru zilitoka 0-0 na zote kutinga Robo Fainali
No comments:
Post a Comment