
Sergio Ramos kupishana na Kipa David De Gea kuelekea Real Madrid hivi karibuni baada ya Mchezaji huyo kuhusishwa kuihama Klabu ya Real Madrid kwenda Manchester United.

Kipa David de Gea

David de Gea akichuana na Mchezaji wa Real Madrid Karim Benzema ambaye watakutana Bernabeu hivi karibuni.

Ramos alipoisawazishia Timu yake bao dhidi ya Atletico Madrid mwezi Januari 2011

Sergio Ramos akishangilia pamoja na Ronaldo kwenye moja ya Ushindi huko Bernabeu
No comments:
Post a Comment