BUKOBA SPORTS

Saturday, July 18, 2015

ARSENAL 3 vs 1 EVERTON, THEO WALCOTT AIWEKA SAWA GUNNERS KUBEBA KOMBE LA ASIA!

Wachezaji wa Arsenal wakishangilia Ubingwa wao ambao umepatikana kwa kuifunga bao 3-1 EvertonArsenal 3-1 Everton, Mikel Arteta akiwa amebeba Kombe lao leo hiiMikel Arteta akiwa amebeba Kombe leoMesut Ozil ndiye aliyeifungia bao la tatu Arsenal kwa kufanya 3-1 dhidi ya Everton zote za Ligi Kuu EnglandRoss aliipatia bao la pekee EvertonSanti Cazorla kafunga la piliTheo Walcott akishangilia mara baada ya kufunga bao la kwanzaTheo WalcottJack na Tom kwenye kasiGibbs akiruka juu kugombea mpira Kikosi cha ArsenalKikosi cha Everton kilichoanza kikipata picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment