Kipigo hicho kimeifanya Man United washindwe kutetea Taji la International Champions Cup licha ya kushinda Mechi 3 ikiwemo ile waliyowatwanga 3-1 Mabingwa wa Ulaya Barcelona.
Lakini Van Gaal amesema kufungwa kwao kunatokana na makosa binafsi walipofungwa Bao la kwanza kwa kujifunga mwenyewe Luke Shaw alipojichanganya na Kipa wake David de Gea.
Van Gaal amesema: "Ndio tumefungwa pengine hiyo ni viziri kwani Mwaka Jana tulishinda Mechi zote tukaja kufungwa Mechi ya Kwanza ya Ligi."
Mchezaji mpya wa Manchester United Matteo Darmian akichuana na Lucas Moura
Stambouli na Michael Carrick
Rooney akituliza mpira kiuzuri
Meneja wa PSG Laurent Blanc
Maxwell na Phil Jones wakiutafuta mpira wakati Phil akiwa chini
Ibrahimovic akifunga bao jana wakati wa Mechi ya Kirafiki dhidi ya Man United huko USA
Sehemu ya Viongozi wa Man United, Ryan Giggs akiwa na Meneja Louis van Gaal pembeni.
No comments:
Post a Comment