Promota Stamili Mtengwa (katikati) na mabondia Mwanne Haji (kushoto) na Lulu Kayage baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika sikukuu ya Iddi Mosi katika ukumbi wa Friends Corner Manzese Dar es salaam
Bondia Lulu Kayage akipimwa afya na Dakitari Michael Madadidi
Promota Stamili Mtengwa (katikati) na mabondia Habibu Pengo (kushoto) na Yonas Segu
Bondia Mwanne Haji akipimwa Afya
No comments:
Post a Comment