Manchester United kwa karibu sana wanafukuzia sahihi ya Fowadi wa Barcelona Pedro
Arda Turan (katikati) na Gerard Pique wakati wa mzoezi
Meneja wa Chelsea Jose Mourinho nae amekuwa akimwitaji mchezaji huyo Pedro anayeuzwa dau kama la
£22m
Kocha wa Man United Louis van Gaal bado anaendelea kuwa bize kuboresha Kikosi chake.
Mchezaji wa zamani wa Timu ya Bayern Munich Bastian Schweinsteiger na sasa Manchester United wakiwa kwenye mazoezi ambapo Kocha huyo ameamua kabla ya Msimu ujao kuanza kuboresha kikosi chake
Man United tayari wameisha sajili wachezaji kadhaa kama Morgan Scheiderlin, Memphis Depay na Matteo Darmian na wote tayari wapo kwenye ziara.
United tayari wamembana Kipa wao David de Gea kasalia kwenye Klabu yao ya Man United
No comments:
Post a Comment