
Raheem sterling kwa furaha akiteta jambo na Wenzake alipofanya Mazoezi kwa mara ya kwanza tangu ajiunge na Klabu hiyo ya Manchester City huko Australia kwenye Ziara.

Wachezaji wa City wakifanya mazoezi kujiandaa na Msimu mpya wa 2-15/2016

Kwa Mara ya Kwanza

Yaya Toure nae alikuwemo kwenye mazoezi

Sterling katikati akifanya zoezi

Ni mazoezi kujiandaa na mechi za kirafiki katika kujiandaa na msimu mpya ujao

Mazoezi ya nguvu

Raheem Sterling akiwa amevaa uzi wa City
No comments:
Post a Comment