BUKOBA SPORTS

Saturday, July 25, 2015

RUSSIA 2018 WORLD CUP DRAW

FIFA World Cup Russia 2018Natalia Vodianova aliakuwa wa kwanza kuzungusha droo hiyo!Model Natalia Vodianova kutoka Russia akionesha nchi aliyoipataNatalia Vodianova akiwa na Samuel Eto'oPutin na Sepp BlatterMichael PlatiniRonaldo akiteta jambo na Oliver B.Diego Forlan na Mkewe PazOliver akiteta jambo na Samuel Eto'oRonaldo akitoa tabasamu wakati wa Droo hiyo punde leo hii jumamosi
Safari ya kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Dunia huko Urusi Mwaka 2018 imeanza rasmi kwa kufanyika kwa Droo ya Mechi za awali h0apo Jana huko St Petersburg, Russia.
Droo ilihusisha Mabara ya Mashirikisho ya FIFA ya Africa, Oceania, South America, Concacaf (North, Central America and the Caribbean) na Europe.
Bara la Asia wao tayari wameanza Nechi zao za Mchujo.
Tanzania inaanza Raundi ya Kwanza kwa kucheza na Malawi na Mshindi wa Mechi hii atakwenda Raundi ya Pili kucheza na Algeria.

Wote walivyo kwa mbele

DROO YA AFRICA
Somalia vs Niger
South Sudan vs Mauritania
Gambia vs Namibia
Sao Tome e Principe vs Ethiopia
Chad vs Sierra Leone
Comoros vs Lesotho
Djibouti vs Swaziland
Eritrea vs Botswana
Seychelles vs Burundi
Liberia vs Guinea-Bissau
CameroonR v Madagascar
Mauritius vs Kenya
Tanzania vs Malawi



ULAYA
KUNDI A
Netherlands, France, Sweden, Bulgaria, Belarus, Luxembourg
KUNDI B
Portugal, Switzerland, Hungary, Faroe Islands, Latvia, Andorra
KUNDI C
Germany, Czech Republic, Northern Ireland,Norway, Azerbaijan, San Marino
KUNDI D
Wales, Austria, Serbia, Republic of Ireland,Moldova, Georgia
KUNDI E
Romania, Denmark, Poland, Montenegro, Armenia, Kazakhstan
KUNDI F
England, Slovakia, Scotland, Slovenia, Lithuania, Malta
KUNDI G
Spain, Italy, Albania, Israel, FYR Macedonia, Liechtenstein
KUNDI H
Belgium, Bosnia-Hercegovina, Greece, Estonia, Cyprus
KUNDI I
Croatia, Iceland, Ukraine, Turkey, Finland
NCHI 9 ZITAFUZU FAINALI.
WASHINDI WA PILI 8 WATAACHEZA MCHUJO KUPATA TIMU 4 ZITAKAZOUNGANA NA 9 ZA KWANZA KUCHEZA FAINALI. 
AFRIKA
Raundi ya Kwanza
Mechi za Nyumbani na Ugenini kuchezwa 5 Oktoba na Oktoba 13
Somalia v Niger, South Sudan v Mauritania, Gambia v Namibia, Sao Tome e Principe v Ethiopia, Chad v Sierra Leone, Comoros v Lesotho, Dijibouti v Swaziland, Eritrea v Botswana, Seychelles v Burundi, Liberia v Guinea-Bissau, Central African Republic v Madagascar, Mauritius v Kenya, Tanzania v Malawi
Raundi ya Pili
**Mechi kuchezwa Nyumbani na Ugenini 9 Novemba na 17 Novemba.
Somalia/Niger v Cameroon, South Sudan/Mauritania v Tunisia, Gambia/Namibia v Guinea, Sao Tome e Principe/Ethiopia v Congo, Chad/Sierra Leone v Egypt, Comoros/Lesotho v Ghana, Djibouti/Swaziland v Nigeria, Eritrea/Botswana v Mali, Seychelles/Burundi v Congo DR, Liberia/Guinea-Bissau v Ivory Coast, Central African Republic/Madagascar v Senegal, Mauritius/Kenya v Cape Verde, Tanzania/Malawi v Algeria, Sudan v Zambia, Libya v Rwanda, Morocco v Equatorial Guinea, Mozambique v Gabon, Benin v Burkina Faso, Togo v Uganda, Angola v South Africa

Makundi:
Timu 20 zitapangwa Makundi 5 ya Timu 4 kila mmoja na Timu ya juu kila Kundi itakwenda Fainali Urusim
CONCACAFF
Raundi ya 3
Kuchezwa 31 Agosti hadi 8 Septemba.
Curacao v El Salvador, Canada v Belize, Grenada v Haiti, Jamaica v Nicaragua, St Vincent & Grenadines v Aruba, Antigua & Barbuda v Guatemala
KUNDI A
Honduras, Mexico, Curacao/El Salvador, Canada/Belize
KUNDI B
Panama, Costa Rica, Grenada/Haiti, Jamaica/Nicaragua
KUNDI C
Trinidad & Tobago, USA, St Vincent & Grenadines/Aruba, Antigua & Barbuda/Guatemala
OCEANIA
Raundi ya 1 (Makundi)
American Samoa, Cook Islands, Samoa, Tonga
Raundi ya Pilu (Makundi)
KUNDI A
Winner of round one between American Samoa, Cook Islands, Samoa and Tonga. Plus Papua New Guinea, New Caledonia, Tahiti
KUNDI B
New Zealand, Vanuatu, Fiji, Solomon Islands
MAREKANI YA KUSIN8
Colombia, Chile, Paraguay, Argentina, Brazil, Ecuador, Venezuela, Bolivia, Peru, Uruguay
TIMU 4 ZA JUU ZITAKWENDA URUSI NA YA 5 ITAENDA MECHI YA MCHUJO DHIDI YA TIMU TOKA BARA JINGINE ILI KUPATA MOJA ITAKAYOENDA URUSI.

No comments:

Post a Comment